Baadhi ya wakazi wa jijini, Dar es Salaam wakilia kwa furaha baada ya kufika saa sita kamili usiku wa kuamukia jana kuashiria kuanza mwaka mpya wa 2013 wakiwa katika ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais ,Siasana Mahusiano, Stephen Wasira wa pili kutoka (kushoto) akiwaongoza wananchi waliohudhuria Ibada ya Mkesha ya kuliombea Taifa kwa kuukaribisha mwaka mpya wa 2013 iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Vijna hawa wakiomba wakati wa Ibada ya kuliombea Taifa wakati wa Mkesha wa mwaka mpya
Wanakiji wa Msoga wilayani Bagamoyo
mkoa wa Pwani wakiangalia fashifashi wakati wa sherehe za kuukaribisha mwaka
mpya kijijini hapo
Rais Jakaya Kikwete
akimtambulisha kaka yake Mzee Selemani Kikwete kwa wanakijiji wenzake
wa kijiji cha Msoga, wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani, wakati wa sherehe
za kuukaribisha mwaka mpya kwa fashifashi na ngoma za utamaduni
No comments:
Post a Comment