Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi
Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short (kushoto kwa Rais), Makamu
mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband (kulia kwake), Waziri wa
Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni
na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya Utalii bada y mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti wa
Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu
mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa
klabu hiyo Bw. John Farnan wakiangalia bada ya mkutano wa na Rais
Ikulu jijijni Dar es salam leo.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu
ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa
Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw.
John Farnan Ikulu jijijni Dar es salam leo.
No comments:
Post a Comment