Kundi la Muziki wa kizazi kipya la Ngoni Trible,lenye makao yake Maskani eneo la Ukonga Mombasa Dar es Salaam, lililoibuka ghafla na wimbo wa Manungaembe ulioleta gumzo kubwa kwa wapenzi wa Muziki kati ya mwaka 205 sasa hivi wamerudi tena katika anga za muziki, sasa hivi wamepania kwelikweli kuleta ushindani katika tasnia hii ya muziki, wakizungumza na Mtandao wa amanitanzania kwa nyakati tofauti baada ya kuwakuta wakifanya mazoezi, Ndunje (katikati), Mbwende (kushoto) na Comodo (kulia) walisema sasa hivi hivi wameamua kufanya kweli hayatatokea kama ya kipindi kile yaliyotufikisha mpaka kuufungia wimmbo wetu uliotafsiliwa vibaya ingawa sisi haikuwa maana yetu hiyo ya kuwaimba wanawake tu bali tulikuwa tunajumuisha na wanaume pia ambao hawana wake
No comments:
Post a Comment