MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, December 20, 2012

Rai Jakaya Kikwete ashiriki mazishi ya marehemu kaboyonga

Rais Jakaya Kikwete, akiweka udongo kwenye Kaburi la Marehemu, Siraju Kamboyonga aliyezikwa katika Makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.

No comments:

Post a Comment