MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, December 20, 2012

Chipolopolo ndani ya Uwanja wa Karume

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Zambia (Chipolopolo) wakifanya amzoezi katika Uwanja wa Karume, Dar es Salaam leo. timu hiyo ipo nchini na itacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya  Taifa Stars Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jumamosi

No comments:

Post a Comment