MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, December 19, 2012

Zambia wawasili

 Wachezaji wa timu ya zambia wakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam jana kwa ajili ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Taifa Stars utakaochezwa katika Uwanja wa Taifa siku ya Jumamosi. Picha na Rahe Pallangyo

No comments:

Post a Comment