Mwenyekiti wa Chama cha NLD, Emmanuel Makaidi akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutoa maoni ya Chama chake kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwenye Ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam leo
Mwenyekiti wa Chama cha CCK, Costantine Akitanda akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi baada ya kutoa maoni ya Chama chake kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Hili ndilo Gari linalotumiwa na viongozi wa Chama cha Siasa cha wakulima cha (AFP) likiwa kwenye viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam, ambapo viongozi hao walipeleka maoni ya Chama chao kwenye Tume ya Mabadiliko ya Katiba.
No comments:
Post a Comment