MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, January 10, 2013

Tume ya Mabadiliko ya katiba yaendelea kupokea maoni kutoka kwenye makundi

 Hawa ni viongozi wa Jukwa la Wahariri wakiingia katika Ofisi za Tume ya Mabadiliko ya Katiba kupeleka maoni kwenye Tume hiyo,
Mmoja wa wawakilishi wa kundi la wafugaji kutoka mkoani Pwani, Ester Laban Mateo akitoka  kwenye Ofisi za Tume hiyo kwa ajili ya kutoa maoni

No comments:

Post a Comment