MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, January 27, 2013

yanga 3- Prison 1 Taifa

 Askari Polisi wakimbeba Mlemavu kumtoa nje baada ya mlemavu huyo kuonekana akikimbia huku akiwa hana nguo alipokuwa akijaribu kuingia katikati ya uwanja, alipoulizwa mlemavu huyo alisema kuwa alikuwa akielekea kumpngeza Mbuyu Twite, baada ya kuachia shuti kali lililomkuna vilivyo na kutinga wavuni.

Mshambuaji wa timu ya Yanga Simon Msuva (kushoto) akimhadaa beki wa timu ya Tanzania Prisons, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam . Yanga imeibuka na ushindi wa bao 3-1

No comments:

Post a Comment