MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, February 1, 2013

Mjadala wa hoja ya elimu wabunge watoka nje

 Wabunge wa Chadema na TLP wakitoka ndani ya Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma baada ya Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai kukata hoja ya Mbunge wa kuteuliwa, James Mbatia ya kumtaka Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru Kawambwa kuwasilisha Nakala za Mtaala wa  Elimu za mwaka 2005



No comments:

Post a Comment