MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, February 13, 2013

Benki ya NC yaelezea mipango na mikakati ya kuongeza matawi nchini



Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki ya NC James Macharia akielezea mipango mbalimbali ya benki hiyo wanayotarajia kuifanya kwa kipindi cha mwaka huu. Kushoto ni .Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NC , James Muchiri 




Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NC , James Muchiri (katikati) akizungumza Dar es Salaam jana kuhusu mipango mbalimbali ya benki hiyo wanayotarajia kuifanya kwa kipindi cha mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji Mkuu, James Macharia

No comments:

Post a Comment