Baada ya miaka saba ya uwekezaji endelevu katika kuboresha hududma
masokon na mtandao wa masoko wa Benki ya NMB sasa ina zaidi ya matawi 148, Mashine za kutolea fedha ATM
zaidi ya miatano na wateja wanaotumia simu za mkononi yaani nmb mobile
kupata huduma zaidi ya laki nane na huduma mbadala kama internet banking
call center kituo cha huduma kwa wateja Wateja WA NMB sasa wanapata
huduma popote walipo bila kuhitajika kwenda kwenye tawi la NMB,maboresho
haya yameiwezesha nmb kutunukiwa tuzo ya kuwa Superbrand mwka 2013-2014.
NMB imekua kinara nambari moja kwenye sekta ya Taasisi za fedha.
Mkurugenzi wa Superbland Jawad Jaffer (kushoto), akimkabidhi Tuzo, Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na masoko wa Benki ya NMB, Imani Kajula baada ya benki hiyo kuibuka mshindi kwa Taasisi za fedha wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi wa Superbland iliyofanyika Dar es Salaam
Mkuu wa Kitengo cha mawasiliano na masoko wa Benki ya NMB,Imani Kajula (katikaTI) na wafanyakazi wa kitengo hicho wakiwa na Tuzo ya Superbland baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa washindi wa
Superbland iliyofanyika Dar es Salaam leo
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko cha Benki ya NMB, Imani Kajula akihojiwa na Mtangazaji wa TBC, Stanley Ngazel muda mfupi baada ya kukabidhiwa Tuzo hiyo
No comments:
Post a Comment