MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, February 11, 2013

Benki ya NMB yazidi kuboresha elimu kwa upande wa madawati


 Wanafunzi wakibeba madawati muda mfupi baada ya hafala ya makabidhiano iliyofanyika shuleni hapo
 
Menejawa NMB tawi la NMB House Benedictor Byabato akimkabizi Madawati yenye thamani ya shilingiMilioniTano mwalimu mkuu wa shuleyamsingiMwananyamala kisiwani Method Rugambarara.Madawati hayo ambayo benkiya NMB imeyatoa ilikupunguza uhabawa madawati unaoikabiri shulehiyo.makabidhianohayayalifanyika kakatika viwanjavya shule hiyo jijini Dar esalaam.




No comments:

Post a Comment