Mkurugenzi
Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Marina Njelekela (katikati)
akizungumza na waandishi wa habari
kuhusu utaribu mpya wa kuchangia matibabu katika hospitali hiyo kupitia
benki ya NMB. Kushoto ni Meneja wa Kanda wa benki hiyo, Salie Mlay na Kushoto
ni Mkurugezi wa Fedha na Utawala wa hospitali hiyo, Agnes Kuhenga
Meneja wa Kanda wa Benki ya NMB, Salie Mlay akizungumza. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Marina Njelekela
Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dk. Marina Njelekela akisistiza jambo
No comments:
Post a Comment