MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, February 27, 2013

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AZINDUA MKAKATI GS1 TANZANIA

 Wadau wakiwa kwenye Kikao cha tatu cha washika dau na kikao cha pili cha mwaka cha GS1 Tanzania
 Makamu Mwenyekiti wa GS1 Tanzania,Yakubu hasham, akihutubia wadau waliofika kwenye kikao cha tatu cha washika dau na kika cha pili cha mwaka .
  Washika dau kutoka Zanzibar wakifuatilia kwa makini.

 Washika dau wakifuatilia kwa makini mkutano wao.
 Waziri Mkuu  akipata maelezo juu ya utengenezaji wa ufuta, kashata,mafuta ya ubuyu kutoka kwa mfanyabiashara Mpalley Mwaipola
 Waziri Mkuu,Mizengo Picha akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa GS1 Tanzania.
 Waziri Mkuu akionyesha kitabu cha mpango mkakati
 .Waziri Mkuu akikata keki,kuashiria kutimizwa kwa miaka miwili ya GS1 Tanzania.
Bodi ya GS1 Tanzania wakiwa kwenye picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment