MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, February 27, 2013

APATA KICHAPO KWA KUIBA SIGARA DUKANI

 Mmiliki wa Duka la bidhaa muhimu aliyefahamika kwa jina la Sigi Kibolama kushoto akiwa na kijana aliyemtuhumu kuiba sigara bunda tatu dukani kwake katika mtaa wa sokoine mjini Songea jana.
 Kijana aliyetuhumiwa kuiba sigara katika duka la Kiboloma Brothers lililopo katika mtaa wa Sokoine mjini  Songea akiwa chini ya ulinzi baada ya kukamtwa  jana.

No comments:

Post a Comment