MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, February 13, 2013

Jamali Malinzi azungumza

Aliyeenguliwa kuwania nafasi ya Urais wa Shirikisho la mpira wa miguu  Tanzania (TFF) Jamali Malinzi akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam kuzungumzia sakata lake la kuondolewa kwa jina lake na Kamati ya rufaa ya Shirikisho hilo ambapo yeye amesema kwamba hakubalianani na utaratibu uliotumika wa kuondoa jina lake

No comments:

Post a Comment