Kipindi cha nyuma ilikuwa ni nadra sana kuwaaona jamii ya wafugaji wakiuza urembo katikati ya mji au mijini, shughuri yao kuu ilikuwa ni kuchunga mifugo yao
Lakini mambo yanavyozidi kubadilika ya uendeshaji wa maisha hakuna tofauti tena ya janmii ya mfugaji na yule aliyezoea kuendesha maisha ya kila siku kwa kufanya biashara ndogondogo kama anavyoonekana mama huyu wa kimasai akisubiri wateja wa kununua urembo eneo la Posta Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment