Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage ameamua kuachia ngazi baada ya kipigo cha bao moja kutoka kwa timu ya Mtibwa yaMorogoro katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, hii ni kutokana na mwenendo wa matokeo yasiyoridhisha ya timu hiyo huku akingali yeye ni kiongozi wa timu hiyo
Katika picha Rage akiwa na Mwenyeki wa usajili wa timu hiyo Hans Pope katika Uwanja wa Nambole nchini Uganda wakati waliopokuwa wanamsainisha mshambuliaji hatari Emmanuel Okwi ambaye hivi ameshauzwa
No comments:
Post a Comment