Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na maafisa mbalimbali wa ubalozi wa
Tanzania Nchini Ethiopia katika Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole
jijini Addis Ababa leo jioni ya Februari 24, 2013 baada ya kuhudhuria
hafla ya Utiaji saini Mpango
wa
Umoja wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Rais Kikwete, kabla ya kurejea Dar es
salaam leo, alikwenda Uganda kuhudhuria mazishi ya baba mzazi wa Rais
Yoweri Kaguta Museveni, Mzee Amos Kaguta, aliyefariki siku ya Ijumaa na
kuzikwa kijijini kwake
Rwakitura.
No comments:
Post a Comment