Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania, Balozi Charles Sanga akitiliana saini na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Utalii ya Afrika kusini ya Witch and Wizard, Zaida Enver kwa ajili ya onyesho la Utalii litakalofanyika hapa nchini mwezi Oktoba mwaka huu liitwalo Swahili Tourism Fair
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania, Balozi Charles
Sanga wakibadilishana mikataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Utalii ya
Afrika kusini ya Witch and Wizard, Zaida Enver kwa ajili ya onyesho la
Utalii litakalofanyika hapa nchini mwezi Oktoba mwaka huu liitwalo Swahili Tourism Fair. Katikati ni Balozi wa Afrika kusini nchini, Thanduyise Henry Chiliza
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania, Balozi Charles
Sanga na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya
Utalii ya
Afrika kusini ya Witch and Wizard, Zaida Enver, wakionyesha mikataba muda mfupi baada ya kusaini kwa ajili ya onyesho la
Utalii litakalofanyika hapa nchini mwezi Oktoba mwaka huu liitwalo
Swahili Tourism Fair. Katikati ni Balozi wa Afrika kusini nchini,
Thanduyise Henry Chiliza
Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania, Balozi Charles Sanga wa pili kutoka kushoto waliokaa, Mkurugenzi mwendeshaji wa Bodi hiyo Dk. Alfred Nzuki wa kwanza kushoto waliokaa, Balozi wa Afrika kusini nchiniThanduyise Henry Chiliza (katikati), Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Witch and Wizard, Zaida Enver na Mkurugenzi wa Fedha wa Kampuni hiyo, Guido Ceruti wakiwa picha ya pamoja na wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania baada ya hafla ya kusaini
Mkurugenzi mwendeshaji wa Bodi hiyo Dk. Alfred Nzuki akizungumza
Mkuu wa Kampuni ya
Utalii ya
Afrika kusini ya Witch and Wizard, Zaida Enver,
Balozi wa Afrika kusini nchini, Thanduyise Henry Chiliza (kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya Utalii Tanzania, Balozi Charles Sanga na MKurugenzi mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania, Dk Alfred Nzuki wakizungumza baada ya kutiliana saini
No comments:
Post a Comment