kamati ya Uchaguzi ya TFF imepitia mchakato mzima wa uchaguzi wa Shirikisho la la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Uchaguzi wa Tanzania Premier League Bord (TPL Board) ili kujiridhisha kuwa mchakato mzima wa uchaguzi unakidhji kikamilifu matakwa ya kanuni za uchaguzi na katiba ya TFF. Kamati ya uchaguzi ya TFF imebaini kuwa kuna matatizo ya kikanuni ambayo yanapaswa kuzingatiwa kwanza kabla ya kuendelea na mchakato wa uchaguzi..
No comments:
Post a Comment