MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, March 13, 2013

HABARI FC YATOLEWA KATIKA MICHUANO YA NSSF CUP NA TBC KWA MATUTA

 wachezaji wa timu ya Habari FC ya Kampuni ya New Habari (2006) Limited wakijadiliana kabla ya mpambano na TBC wa michuano ya NSSF CUP uliochezwa katika Uwanja wa Chuo Kikuu cha Ualimu  (DUCE) Chang'ombe Dar es Salaam. Habari FC waliotolewa kwa matuta na TBC baada ya Dakika tisini kumalizika kwa kufumgana bo moja kwa moja. ambapo TBC walipata penalti 3 kwa moja
 Wachezaji wa TBC wakisalimiana na Habari FC kabla ya mpambano kuanza
 Wachezaji wa TBC wakisalimiana na Habari FC kabla ya mpambano kuanza
 Mshambuliaji wa timu ya TBC Ahmed Salim akijaribu kuwatoka wachezaji wa timu ya  Habari FC
 Mshambuliaji wa tim,ya Habari FC Kulwa  Karedia akijaribu kutoka beki wa timu ya TBC,Mbozi Katala wakati wa mchezo uliofanyika katika Uwanja wa DUCE Chang'ombe Dar es Salaam
 wachezaji wa timu ya Habari Quens wakishangilia
 Beki  wa timu ya New Habari, Mohamed Mharizo (kulia) akimzuia mshambuliaji wa timu ya TBC
kipa wa timu Habari FC, Shadrack Kilasa akiokoa moja ya hatari wakati wa mchezo huo

No comments:

Post a Comment