MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, March 12, 2013

KASIMU MAPILI AKUMBUSHIA ENZI ZAKE ZA KULICHALAZA GITAA NA KUIMBA

 Mwanamziki mkongwe, Kasim Mapili akionyesha Staili tofauti za upigaji wa Gitaa  wakati wa uzinduzi Mradi wa kuimarisha Ushiriki wa wakulima wadogo kwenye mijadala ya Ki-sera na ufuatiliaji wa kuboresha uhakika wa chakula Afrika Mashariki uliofanyika Dar es Salaam leo





 Dereva wa Basi la Daradala lifanyalo safari kati ya Ubungo na Posta akiwa amesimama kuwapisha wanafunzi wavuke Barabara.
 Ujenzi wa Barabara za Mradi wa mabasi  yaendayo kasi Dar, ukiendelea hapa ni eneo la Ubungo Barabara ikiwa imechimbuliwa
Askari wa Usalama Barabarani akikagua gari eneo la Ubungo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment