Katibu wa Taasisi na Jumuia za kiislamu, Sheikh Ponda Issa Ponda akirudishwa mahabusu baada ya kupatiakna na kesi ya kujibu kufutia kesi ya kudaiwa kuwashawishi waislamu kumiliki Kiwanja cha Markazi Chango'mbe kinachomilikiwa na Kampuni ya Agritanza
Baadhi ya wafuasi wa Ponda waliokuwa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakimpungia mikono wakati akirudishwa mahabusu.
No comments:
Post a Comment