Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akizungumza wakati wa semina ya siku tatu kwa waendesha mitandao ya Kijamii (BLOG) kuhusu Wizara hiyo inavyoweza kupeleka habari kwa urahisi kwa wananchi wa kawaida iliyofanyia Kihaba mkoani Pwani
Baadhi ya waendesha mitandao ya kijamii (Blog) wakimsikiliza Mkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma wakati wa semina hiyo ya siku tatuMkuu wa Kiengo cha Mawasiliano Serikalini na Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahedi Mduma akiwasikiliza maofisa habari kutoka Ofisi ya Waziri na TAMISEMI
Mmoja wa maofisa kutoka Wizara ya Fedha katika Kitengo cha Mawasiliano akifafanua jambo wakati wa Semina hiyo.
No comments:
Post a Comment