Ukiwa umekaa kwenye Ofisi yenye Kiyoyozi huku unaendelea kufanya kazi zinazokufanya ukose hata muda wa kuchati na rafiki zako wa siku nyingi uliosoma nao kipindi hicho cha miaka ya nyuma halafu ghafla unakumbuka maisha ya shule hasa kama uliweza kuisha Shule ya bweni na kumbukumbu zikikujia jinsi maisha ya bweni yalivyokuwa yanaendelea huku ukipiga kitabu kwa taabu.
Picha hiyo inakumbushia Mpishi wa Shule akiwaandalia wanafunzi wa bweni chakula cha mchana
No comments:
Post a Comment