Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora Dk. Pindi Chana (wa tatu kutoka kulia) akizungumza na viongozi wa Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma wakati wa ziara ya kamati yake katika ofisi hiyo.
Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Hab Mkwizu (aliyesimama) akiwasilisha kazi za ofisi yake kwa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora ilipofanya ziara ofisini hapo.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Mh.Celina Kombani (MB) (wa pili kulia)akieleza shughuli zinazofanywa na ofisi yake kwa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora walipotembelea Ofisini kwake.
Mkurugenzi wa Idara ya Usimamizi Rasilimaliwatu Serikalini Emmanuel Mlay (aliyesimama) akiwasilisha mada kuhusu Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara (HCMIS) kwa wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bor
Wajumbe wa Kamati ya Katiba,Sheria na Utawala Bora wakiangalia jinsi Mfumo Shirikishi wa Taarifa za Kiutumishi na Mishahara Serikalini (HCMIS)unavyofanya kazi kupitia mtandao katika ziara waliyoifanya Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
Mwenyekiti Msaidizi wa Kamati ya Bunge ya Katiba ,Sheria na Utawala Bora William Ngeleja (MB)(wa pili kulia) akichangia mada wakati wa ziara ya kamati hiyo katika Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma.
No comments:
Post a Comment