Wafuasi wa Ponda walioandamana kwenda kwenye Ofisi za Mkurugenzi wa mashitaka (DPP0 kwa ajili ya kushinikiza Ponda apewe dhamana wamehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela. hapa wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam kabla ya hukumu.
No comments:
Post a Comment