Moja ya majeruhi waliolipukiwa na bomu amelazwa katika hospital ya mount meru Jijini Arusha akipata matibabu
Maiti ya mwanamke aliyelipuliwa na bomu katika uwanja wa kanisa katoliki la mt Joseph lililopo Olasiti Jimbo Kuu la Arusha
Baadhii ya Waumini wa kanisa katoliki
la mt Joseph wakiwa na mapadri wakitafakari jambo mara baada ya bomu kulipuka.
Balozi wa Vatican Francisicco Padilla akitete jambo na Askofu Mkuu wa Jimbo la Arusha Josephat Lebulu nje ya kanisa katoiliki la mt Joseph
Eneo
bomu lilipotua na kulipuka na kujeruhi zaidi ya watu 45 na kuua mtu mmoja tukio lililotokea katika kanisa Katoliki la mt Joseph Olasiti
Hivi ndivyo walivyojeruhiwa waumini wa Kanisa la Roma Cathoriki la Parokia mpya ya OLasiti
katika jimbo kuu la Arusha lilipolipuka bomu wakati Misa Ikiendelea ya uzinduzi wa Kanisa hilo.
No comments:
Post a Comment