MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, May 9, 2013

SHEIKH PONDA ISSA PONDA AACHIWA NA KUFUNGWA KIFUNGO CHA NJE MWAKA MMOJA

 Ulinzi ulivyokuwa umeimarishwa wakati wa kusikiliza hukumu ya Ponda katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam

 Askari wenye Pikipiki wakifanya patro eneo la Mahamakani
 Askari wa wakilinda eneo la Mahakama
 Ponda akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuachiwa huru
 Ponda akiwa na baadhi ya viongozi na wafuasi wake nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam



 Askari wakilinda gari alilopanda Sheikh Ponda Issa Ponda

No comments:

Post a Comment