MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, June 6, 2013

KHADIJA KOPA AFIWA NA MUMEWE

 Khadija Kopa akisaidiwa kwenda kupandishwa Ndege mkoani Rukwa alikokuwa kwenye sherehe za Mazingira Duniani
Khadi Kopa akisaidiwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Injini Stella Manyanya (kushoto)
 
 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya kushoto akimfariji msanii na taarab na malkia wa mipasho Tanzania,
Khadija omar Kopa alipokua kwenye chumba maalum cha kupumzikia wageni kwenye uwanja wa ndege wa Mpanda baada ya kupewa taarifa ya kufiwa na mumewe ,Jafari Ali Yussuf aliyefariki Dunia leoa alfajiri kutokana na ugonjwa, Khadija Kopa alikua akitokea kwenye maadhimisho ya siku ya mazingira Duniani kitaifa yaliyoaadhimishwa Namanyere Mkoani Rukwa jana

No comments:

Post a Comment