MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, June 5, 2013

LOWASSA ACHANGIA MILION KUMI




Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa akizungumza wakati wa uzinduzi wa Jumuia ya Akiba, Mikopo na Maendeleo Dodoma (JAMIMADO) mjini Dodoma jana na kuahidi kuichangia Sh Milioni kumi . na kushoto ni Katibu wa Jumuia hiyo, Salar Benson.




 Katibu wa Jumuia hiyo sarah Bnson akizungumza wakati wa uzinduzi huo
 Lowassa akiwa na Mbunge wa viti maalum, Felister Bulla
Lowassa akisalimiana na baadhi ya wanachama wa Jumuia hiyo

No comments:

Post a Comment