MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, June 11, 2013

Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo Balozi mpya nchini China

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza  Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo baada ya kumwapisha kuwa Balozi wa Tanzania nchini China
 
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilal wakiwa na mabalozi wapya walioapishwa leo Juni 11, 2013 katika Ikulu Ndogo Dodoma. Mabalozi hao ni Mhe Luteni Jenerali Mstaafu Abdulrahman Shimbo (kuli) , anayekuwa balozi wa Tanzania nchini China na Mhe Anthony Cheche (kushoto) anayekuwa Balozi wa Tanzania katika Congo DRC.

No comments:

Post a Comment