Warembo wanaotarajia kupanda jukwaani jumamosi hii kuwania Taji la umalikia wa Urembo mkoani Kilimanjaro, Redd's Miss Kilimanjaro 2013 katika picha yua Pamoja na mkuu wa Mkoa wa kilimanjaro, Leonidas Gama,walipotembelea ofisi zake jana. picha na Fadhili Athumani

No comments:
Post a Comment