MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Sunday, July 28, 2013

BENKI YA cba YAWAANDALIA FUTARI WATEJA WAKE WALIOFUNGA RAMADHANI

 Baadhi ya wateja na wafanyakazi wa Benki ya Cba wakichukua Futari iliyoandaliwa na Benki hiyo kwa ajili ya wateja wao waliofunga Ramadhani. Futari hiyo iliandaliwa kwenye Hotel ya Serena jijini, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita.

 Baadhi ya wateja wa Benki ya Cba wakipata Futari
 Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya Cba akizungumza muda mfupi baada ya kupata futari
 Mkuu wa Kitengo cha hazina Benki ya Cba, Julius Mcharo  akizumngumza
Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhaj Mussa Salum, akikaribishwa na Mkuu wa Hazina wa Benki ya Cba wakati wa Futari hiyo iliyoandaliwa na Benki hiyo
 Sheikh wa Mmkoa wa Dar es Salaam akizungumza wakati wa Futari hiyo.
 Sheikh wa Mmkoa wa Dar es Salaam akizungumza wakati wa Futari hiyo.
 Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa Benki  ya Cba
 Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa Benki  ya Cba
 Sheikh wa Mkao wa Dar es Salaam, Mussa Salum akisindikizwa na wafanyakazi wa Benki ya Cba baada ya Futari.
  Sheikh wa Mkao wa Dar es Salaam, Mussa Salum akisindikizwa na wafanyakazi wa Benki ya Cba baada ya Futari.
Baadhi ya wafanyakazi na wateja wa Benki ya Cba wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment