MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Wednesday, July 10, 2013

MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA JKT

Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakionyesha jinsi ya kupigana na adui wakati wa maadhimisho ya kufunga miaka 50 ya jeshi hilo tangu kuanzishwa yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhurui, Dar es Salaam
Askari wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) wakionyesha umahieri wa kukabiliana na adui pasipokutumia risasi wakati wa maadhimisho ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo yaliyofanyika kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment