MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Tuesday, July 9, 2013

TBL YAKABIDHI VIFAA KWA SIMBA NA YANGA kwa

 Meneja wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe (katikati) akikabidhi vifaa vya michezo kwa Klabu za Simba na Yanga kwa ajili ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2013/14 unaotarajia kuanza mwezi ujao. Kulia nia Katibu wa Yanga Lawrence Mwalusako na kushoto ni Evodius Mtawala
 Meneja wa Kilimanjaro, George Kavishe (kulia) akiwa na Katibu wa Simba Evodius Mtawala
Meneja wa Kilimanjaro, George Kavishe (kushoto) akiwa na Katibu wa Yanga, Lawrence Mwalusako

No comments:

Post a Comment