Mwakilishi
wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) akitoa maelezo kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi
ya Jamii (SSRA, Irene Isaka, Mkuu wa Tehama SSRA Dr. Carina Wangwe
na Wakurugenzi, Mameneja na maofisa wa Tehama wa mifuko ya hifadhi ya
Jamii jinsi vitambulisho vya taifa vinavyoweza kusaidia katika kupanua
wigo wa hifadhi ya Jamii kwa kila MtanzaniaSunday, July 21, 2013
SSRA, MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII & NIDA yakutana ili kujadili jinsi vitambulisho vya Taifa vinavyoweza kutumika ili kuongeza wigo wa Wanachama katika Sekta ya Hifadhi ya Jamii na hivyo kupunguza umaskini Nchini .
Mwakilishi
wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) akitoa maelezo kwa
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi
ya Jamii (SSRA, Irene Isaka, Mkuu wa Tehama SSRA Dr. Carina Wangwe
na Wakurugenzi, Mameneja na maofisa wa Tehama wa mifuko ya hifadhi ya
Jamii jinsi vitambulisho vya taifa vinavyoweza kusaidia katika kupanua
wigo wa hifadhi ya Jamii kwa kila Mtanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment