Rais Jakaya Kikwete akisalimiana
na wachezaji wa Taifa Stars, alipokutana nao Uwanja wa Ndege wa Mwanza
wakati akielekea mkoani, Bukoba na Taifa
Stars wakielekea nchini Uganda kupambana na The Cranes katika mchezo wa
marudiano wa kufuzu Fainali za CHAN utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa
Nelson Mandela
Wachezaji
wa kikosi cha Taifa Stars, wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Entebe nchini Uganda, jana kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda The Cranes wa
kuwania kufuzu Fainali za CHAN utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Nelson
Mandela
Meneja Habari wa Kampuni ya PR ya Exerctive Solution, Michael Mkunza, akiwapokea wachezaji wa Taifa Stars muda mfupi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe nchini Uganda leo
Kocha
Mkuu wa Taifa Stars, Kim Poulsen (katikati), Daktari wa timu hiyo, Juma
Mwankemwa (kushoto) na Meneja Habari wa Kampuni ya PR ya Exerctive Solution,
Michael Mkunza, wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Entebe nchini
Uganda
No comments:
Post a Comment