Kaptain wa Tennis Gymkhana, Methusela
Mbajo akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam kuhusiana na
mashindano ya Tennis kwa vijana chipukizi yatakayofanyika kuanzia kesho
(jumatatu) na kudhaminiwa na kinywaji cha Grand Malt. Kulia ni Meneja
wa Kinywaji hicho, Consolata Adam na Kulia ni Makamu wa Rais wa Chama
cha Tennis Tanzania, Fina Mango.
Meneja wa kinywaji cha Granda
Malt, Consolata Adam, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam
jana kuhusiana na mashindano ya vijana chipukizi ya Tennis
yatakayofanyika kwenye viwanja vya Gymkhana na kudhaminiwa na kinywaji
hicho. Kulia ni Kaptani wa Tennis Gymkhana, Methusela Mbajo
Kocha wa vijana wa mchezo wa Tennis, Rabii Hassan akiwapa maelekezo vijana hao wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam leo. Mashindano ya Tennis kwa vijana Chipuki yanatarajia kuanza jumatatu kwa udhamini wa Kinywaji cha Grand Malt kupitia Kapuni ya TBL
Bryan
Moshi, akipiga mpira wakati wa mazoezi kwenye Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam
kwa ajili ya maandalizi ya mashindano ya vijana chipukizi wa mchezo huo yanayotarajia kuanza kesho kwa
udhamini wa Kinywaji cha Grand Malt
No comments:
Post a Comment