MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, October 11, 2013

UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO NA BENKI YA DUNIA WASHINGTON DC MAREKANI

Zenfack, katikati akifafanua jambo katika mkutano huo, kulia ni Bw. Philippe Dongier Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi
Shahid Yusuf ambaye ni Consultant wa AFCE akichangia hoja katika mkutano wa ujumbe wa Tanzania na Benki ya Dunia.
Kutoka kushoto Katibu Mkuu  Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile, Mkurugenzi wa Utafiti na Sera za Uchumi wa BOT Dkt. Joseph Masawe na Naibu Gavana wa BOT Bi. Natu Mwamba wakitafakari kwa makini majadiliano hayo.



CRDB BANK YANDAA CHAKULA CHA JIONI UBALOZI WA TANZANIA WASHINGTON DC

Mkurugenzi Mkuu wa CRDB Bank Dkt. Charles Kimei akiongea na ujumbe wa Tanzania na watanzania waishio Marekani  juu ya huduma mpya za kibenki kwa ajili ya Diaspora  na maboresho ya huduma ya Tanzanite wakati wa Chakula cha jioni kilichoandaliwa na benki hiyo washington DC nchini Marekani jana
Waziri wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akiongea  wakati wa chakula cha jioni kilichoandaliwa na CRDB ubalozi wa Tanzania nchini Marekani  kulia kwake ni Balozi wa Tanzania Marekani na Mexico Mhe. Liberata Mulamula.
Kutoka kulia Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano Dkt. Wiliam Mgimwa, Waziri wa Fedha Zanzibar Bw. Yusuph Mzee, Naibu Gavana wa BOT Dkt. Natu Mwamba wakati wa chakula cha pamoja.
Kutoka kulia wachumi Wizara ya Fedha Bw. Pima Patrick na Erasto Kivuyo wakijipatia chakula cha jioni

No comments:

Post a Comment