MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, October 10, 2013

WIZARA YA FEDHA YASHIRIKI MKUTANO WA JUMUIA YA MADOLA

 Kutoka kushoto ni Katibu Mtendaji Ofisi ya Rais Tume ya Mipango Dkt. Philip Mpango, Katibu Mkuu Wizara ya Fedha  Dkt. Silvacius Likwelile, Kamishna wa Sera . Beda Shallanda na Kamishna wa Fedha za Nje . Said Magonya wakijadiliana jambo kabla ya kuanza kwa majadiliano ya mkutano wa madola. 
 Baadhi ya washiriki wakifuatilia majadiliano; mwenye tai nyekundu ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Silvacius Likwelile.
 Mwenyekiti wa majadiliano ya mkutano wa Madola Sheku Sesay akifafanua jambo.

Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia kwa majadiliano ya Jumuiya ya Madola.
 

No comments:

Post a Comment