Ujumbe wa Tanzania ukiwa Washington DC nchini Marekani kwa ajili ya maandalizi ya Kikao na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha Duniani
Waziri
wa Fedha Dkt. Wiliam Mgimwa akiwa katika majadiliano na ujumbe wa Tanzania
kuhusu maandalizi ya mikutano na Benki ya Dunia na Shirika la Fedha la
Kimataifa.
Ujumbe wa Tanzania wakisikiliza kwa makini hoja zinazotolewa na Waziri wa Fedha
hayupo pichani ambaye ni mwenyekiti wa kikao hicho
No comments:
Post a Comment