Meneja wa Bidhaa za kuwekeza na Akiba wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye akizungumza wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya WEKA UPEWE. Katikati ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula Mfugale na kulia ni
Mkuu wa Kitengo cha bidhaa za kuwekeza za wateja wakubwa wa benki hiyo, Andrew Massawe.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula Mfugale (katikati) Meneja wa Bidhaa za kuwekeza na Akiba wa , Dorothea Mabonye (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha bidhaa za kuwekeza za wateja wakubwa wa benki hiyo, Andrew Massawe
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula Mfugale akijibu baadhi ya maswali ya waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya WEKA UPEWE iliyofanyika Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha bidhaa za kuwekeza za wateja wakubwa wa benki hiyo, Andrew Massawe na kushoto ni Meneja wa Bidhaa za kuwekeza na Akiba wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye.
Mkuu wa Kitengo cha bidhaa za kuwekeza za wateja wakubwa, Benki ya NBC, Andrew Massawe, akionyesha Kipeperushi cha Promosheni ya WEKA UPEWE.
Meneja wa Bidhaa za kuwekeza na Akiba wa Benki ya NBC, Dorothea Mabonye akizungumza wakati wa uzinduzi wa Promosheni ya WEKA UPEWE itakayoendeshwa na benki hiyo. aktika Promosheni hiyo wateja watajishindia zawadi mbalimbali ikiwa ni pamoja na gari aina ya SUZUKI SWIFT YA MWAKA 2013.
No comments:
Post a Comment