MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Friday, January 10, 2014

MTAA WA LWICHI KINONDONI, DAR ES SALAAM ULIVYOZINGILWA NA MAJI YANAYOTILILIKA KUTOKA VYOONI

Maji yakiwa yametuwama katika Mtaa wa Lwichi eneo la Kinondoni

Pamoja na harufu mbaya inayotoka eneo hilo hakuna jinsi ya kufanya watu wanaendelea na shughuri kama kawaida




Mama lishe akipita na chakula karibu na Maji yaliyotuwana katika mtaa wa Lwichi kinondoni jijini Dar es Salaam. Maji hayo yanayotowa harufu kali yamekuwa kero kwa wakazi wanaoishi kaibu na eneo hilo ambapo wamesema wamekwishatoa taarifa kwa mamlaka zinazohusia ikiwa ni pamoja na Ofisi ya Mbunge wa Jimbo hilo la Kinondoni lakini hakuna lolote lililofanyika

No comments:

Post a Comment