MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, January 20, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA MAWAZI NA MANAIBU WAZIRI IKULU DAR ES SALAAM

Naibu Waziri mpya wa Wizara ya Maji, Amos Makalla akiapishwa na Rais Jakaya Kikwete Ikulu Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Picha ya pamoja na viongozi wengine wa kitaifa, Mawaziri na manaibu mawaziri baada ya kumalizika kwa hafla ya kuapisha
Rais Jakaya Kikwete na viongozi wengine wa kitaifa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri wapya na manaibu mawaziri wapya
Rais Jakaya Kikwete akiwa  katika  picha ya pamoja na Naibu Waziri mpya wa Maji, Amos Makalla muda mfupi baada ya kuapishwa Ikulu Dar es Salaam

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika Picha ya pamoja na famili ya Naibu Waziri wa Maji, Amos Makalla

No comments:

Post a Comment