MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Monday, January 6, 2014

WAFUASI WA CHADEMA NA WAFUASI WA ZITTO WALIVYOSHAMBULIANA

Wafuasi wa Zitto Kabwe wakiwa wametulia kabla ya kuahirisha kesi ilioyofunguliwa na aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe ya kupinga kujadiliwa na Kamati Kuu ya Chma hicho kuhusu uanachama wake

Wafuasi wa Chadema na Zitto Kabwe wakiwa wakunjana nje ya Mahakama Kuu  Kanda ya Dar es Salaam
Wafuasi wa Zitto Kabwe wakiwa na mabango

Mmoja wa wafuasi wa Zitto Kabwe akishangilia nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment