MDAU POPOTE ULIPO TUMA PICHA NA HABARI KWA E-mail:  antonysiame74@yahoo.com

Thursday, February 22, 2018

RAIS WA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU ULIMWENGUNI (FIFA) GIANNI INFANTINO ALIYOTINGA NCHINI TANZANIA

Rais wab Fifa, Gianni Infantino akiwasili katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam, tayari kwa kuongoza kikao cha siku mbili




Rais wa Fifa, Gianni Infantino akiwa na akiwa na Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu nchini Wales Karia na Kaimu Katibu Mkuu, Wilfred Kidau
akivalishwa vazi la kimasai alipowasili ukumbini
akivalishwa vazi la kimasai alipowasili ukumbini
Akitoa shukrani baada ya mapokezi
Jamii ya wamasai wakitumbuiza wakati wa mapokezi
Wajumbe wa mkutano wa Fifa wakiwasili katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment