Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars januari 4 mwakani katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam majira ya kuanzia saa moja na nusu usiku inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki wa Kimataifa na timu ya Taifa ya Ivory Coast
Mechi hiyo itakuwa ni mechi ya mazoezi kwa timu hiyo Ivory Coast ambayo iantarajia kwenda kushiriki katika mashindano ya Mataiaf ya Africa
Vilevile timu hiyo januarai saba itacheza mchezo wa kirafiki na timu ya Amavumbi kutoka nchini Rwanda.
No comments:
Post a Comment